Thema: Alle Zahlen (einschließlich Ordnungszahlen und Brüche)
[ongeza = plus //// toa= minus //// karibu = fast, ungefähr //// mara = mal //// kama = wenn /// jina la ukoo = Familienname //// In Swahili verwendet man einen Punkt statt Komma für Dezimalzahlen]
Mbili mara saba ni:
kumi na nne
nne na kumi
ishirini na nne
thelathini
Mia toa sabini ni:
arobaini na saba
thelathini
themanini
sabini
Kama leo ni tarehe ishirini na tano, jana ilikuwa tarehe ngapi?
tarehe nne
tarehe kumi na nne
tarehe ishirini na nne
tarehe ishrini na nane
Watoto watatu na watoto watano ni watoto wangapi?
watoto nane
watoto wanne
watoto watano
watoto wanane
Arobaini ongeza hamsini ni:
Kama jana ilikuwa tarehe kumi na tisa, kesho itakuwa tarehe ngapi?
Nyumba mbili na nyumba tatu ni nyumba ngapi?
nyumba tano
nyumba ntano
nyumba tatu
nyumba nne
Mia (moja) mara elfu moja ni ngapi?
elfu (moja)
laki (moja)
milioni (moja)
tisini na moja
Laki moja toa elfu tisini ni:
2006 + 2994 =
laki tano
elfu nane
milioni kumi
elfu tano
1205 + 2564 =
elfu tano mia saba sitini na tisa
elfu tatu mia saba sitini na tisa
elfu tatu mia saba tisini na sita
elfu tisa mia saba sitini na tisa
1.56 mara 2.56 ni:
karibu mia
karibu sita
karibu kumi
karibu nne
nusu ongeza robo ni:
nusu toa nusu ni:
robo ongeza robo ni:
robo tatu ongeza robo ni:
Sifuri mara milioni ni:
Vitabu kumi na vitabu viwili ni:
vitabu kumi na viwili
vitabu kumi na tatu
vitabu mia na viwili
vitabu kumi
magari manne na magari mawili ni:
magari masita
magari tisa
magari sita
magari matisa
Kama juzi ilikuwa tarehe kumi na tisa, kesho kutwa itakuwa tarehe ngapi?
tarehe ishirini
tarehe ishirini na tatu
tarehe ishirini na tano
tarehe ishirini na nne
Mwezi wa kumi na mbili una siku ngapi?
"Jina langu .... ni Maria na la ukoo ni Williams."
la kwanza
ya kwanza
la mwisho
la ukoo
das zweite Buch =
die ersten Leute =
die letzten Wochen
die vorletzte Seite =
ukurasa wa kutoka mwisho
ukurasa wa mbili kutoka mwisho
ukurasa wa pili kutoka mwisho
ukurasa pili kutoka mwisho
der 3. und letzte Bahnhof =
stesheni tatu na ya mwisho
stesheni ya tatu na ya mwisho
stesheni ya tatu na mwisho
stesheni ya tatu ya mwisho
Kumi na tatu mara tano ni:
um 14:25 Uhr =
saa nane na dakika ishirini na tano
saa nne na dakika ishirini na tano
saa tisa kasoro dakika ishirini na tano
saa mbili na dakika ishirini na tano
Ishirini na tatu toa kumi na saba ongeza hamsini ni: