Der Lokativ
Stufe 2: Mittelstufe

1) Mimi sasa ................ Uswisi.

(A) ni  (B) na  (C) tuko   (D) niko

2) Mimi ................ Mwaustria.

(A) niko  (B) ni  (C) yuko  (D) tuko

3) Bw. Schmitz ................ nyumbani.

(A) ni  (B) ako  (C) mko  (D) yuko

4) Sasa nyinyi ................ wapi?

(A) mko   (B) ni   (C) si  (D) tuko

5) Wewe ................ Mjerumani?

(A) tuko  (B) uko   (C) ni  (D) wako

6) Sisi ................ Watanzania.

(A) wako  (B) si   (C) tuko   (D) mko

7) Jürgen na Ulrike ................ Kenya.

(A) yuko  (B) wako   (C) si  (D) ni

8) Nani ................ nje?

(A) si  (B) ni   (C) yuko   (D) ako

9) Sisi ................ Austria.

(A) hatuko  (B) hayuko  (C) si   (D) hamko

10) Je, wewe ................ mtu mzuri?

(A) yuko  (B) huko  (C) uko  (D) ni